Na Thuwaiba Habibu:
Mkurugenzi wa chama cha waandishi wa habari Zanzibar -Tanwa Dkt mzuri Issa amewataka waandishi wa habari kutokuogopa kuzungumzia matatizo yanayoweza kupata kupitia sheria ya habari sio rafiki kwao.
Ameyasema hayo 27/11/2024 wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari juu ya kufanya uhamasishaji wa kupatika kwa sheria mpya ya habari huko katika ofisi za tamwa Tunguu Unguja
Amesema waandishi wa habari hawatakiwi kuwa kimya wanapo kabiliwa na tatizo bali walisemee ili changamoto wanakutana nazo waandishi kwa kukosa sheria ya kuwatatuliwa .
Aidha amesema imeshapita muda mwingi takribani miaka 20 kuomba ibadilishawa kwa sheria hiyo lakini mchakato huo ukiwa unafanyiwa kazi na uhakika haujapo waendelee kufanya uchechemuzi ili iweze kufika barazani.
Pia amesema tujitahidi kushirikiana kwa pamoja katika kunizungumzia sheria hii ili iweze kupatatikana kwa haraka.
"Sisi ndio kiungo muhimu cha wananchi na viongozi ikiwa sheria yetu inaudhibit mkubwa kwetu hatutaweza kutoa taarifa zilizo za uwazi kwa jamii"
Kwa upande wake Afisa Program wa uchechemuzi w sheria za habari zanzibar tumepiga hatua sana kuisemea sheria ya habari kwani imekuwa na changamoto nyingi kwa tasnia ya havari ni vyema kufafa uhamsishaji tuweze kupata sheria mpya kwa haraka.
Nae waandishi wa habari waneahidi kufanya uhamasidhaji wa sheria hii kwani ndio itakaweza kusaidia kukua kwa tasni ya habari nchini.Na Thuwaiba Habibu
Mkurugenzi wa chama cha waandishi wa habari Zanzibar -Tanwa Dkt mzuri Issa amewataka waandishi wa habari kutokuogopa kuzungumzia matatizo yanayoweza kupata kupitia sheria ya habari sio rafiki kwao.
Ameyasema hayo 27/11/2024 wakati wa mafunzo kwa waandishi wa habari juu ya kufanya uhamasishaji wa kupatika kwa sheria mpya ya habari huko katika ofisi za tamwa Tunguu Unguja
Amesema waandishi wa habari hawatakiwi kuwa kimya wanapo kabiliwa na tatizo bali walisemee ili changamoto wanakutana nazo waandishi kwa kukosa sheria ya kuwatatuliwa .
Aidha amesema imeshapita muda mwingi takribani miaka 20 kuomba ibadilishawa kwa sheria hiyo lakini mchakato huo ukiwa unafanyiwa kazi na uhakika haujapo waendelee kufanya uchechemuzi ili iweze kufika barazani.
Pia amesema tujitahidi kushirikiana kwa pamoja katika kunizungumzia sheria hii ili iweze kupatatikana kwa haraka.
"Sisi ndio kiungo muhimu cha wananchi na viongozi ikiwa sheria yetu inaudhibit mkubwa kwetu hatutaweza kutoa taarifa zilizo za uwazi kwa jamii"
Kwa upande wake Afisa Program wa uchechemuzi w sheria za habari zanzibar tumepiga hatua sana kuisemea sheria ya habari kwani imekuwa na changamoto nyingi kwa tasnia ya havari ni vyema kufafa uhamsishaji tuweze kupata sheria mpya kwa haraka.
Nae waandishi wa habari waneahidi kufanya uhamasidhaji wa sheria hii kwani ndio itakaweza kusaidia kukua kwa tasni ya habari nchini.
0 Comments