Klabu ya simba imeandika
historia nyingine kwakuuza tiketi zote za kiingilio cha uwanja wa Benjamin
Mkapa kwenye tamasha lao la Simba Day.
Simba ilianza kuuza tiketi
Julai 25 mwaka huu na hivyo wametumia siku tisa tu kujaza uwanja huo
wenye uwezo wa kubeba mashabiki 60,000.
“Historia mpya imeandikwa kwa
tiketi zote kununuliwa siku tatu kabla ya SIMBA DAY”. Ilisema taarifa ya
simba
0 Comments