Ticker

6/recent/ticker-posts

Mazungumzo Kuhusu Utekelezaji Mradi Wa Mfumo Taarifa Za Ardhi Zanzibar Yaanza

        Katibu Mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji (kati ) na Meneja wa mkoa wa kampuni ya IGN FI kutoka Ufaransa Bi Areste Lamendour ( watatu kushoto) wakizungumza kabla ya kuanza kikao cha mazungumzo ya awali kuhusu utekelezajia wa mradi wa Mfumo wa Taarifa za Usajili wa Ardhi katika ukumbi wa Hoteli ya Hyyatt Regency, Dar es Salaam.


        Katibu Mkuu wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Zanzibar Dkt. Mngereza Mzee Miraji (kushoto) na Meneja wa mkoa wa kampuni ya IGN FI kutoka Ufaransa Bi Areste Lamendour wakiwa katika kikao cha mazungumzo ya awali kuhusu utekelezajia wa mradi wa Mfumo wa Taarifa za Usajili wa Ardhi katika ukumbi wa Hoteli ya Hyyatt Regency, Dar es Salaam.

         Wakurugenzi Kamisheni ya Ardhi Zanzibar, wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makaazi, Zanzibar  wakiwa katika kikao cha mazungumzo ya awali kuhusu utekelezajia wa mradi wa Mfumo wa Taarifa za Usajili wa Ardhi katika ukumbi wa Hoteli ya Hyyatt Regency, Dar es Salaam, kikao hicho kiliongozwa na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dkt. Mngereza Mzee Miraji na Meneja wa mkoa wa kampuni ya IGN FI kutoka Ufaransa Bi Areste Lamendour.


Post a Comment

0 Comments